Halmashauri ya Wilaya ya Meru ipo Mashariki mwa mkoa wa Arusha na imelala kati ya latitudi 36o5 na Longitudi 37o5. Halmashauri ya Meru inapakana na Halmashauri ya Wilaya ya Siha (Kilimanjaro) kwa upande wa kaskazini na mashariki. Kwa upande wa Magharibi inapakana na Halmashauri ya Wilaya ya Arusha na Kusini inapakana na wilaya ya Simanjiro...soma zaidi

SEDPII MADIIRA pic01

Wahe. Madiwani kamati ya Fedha wakikagua ujenzi wa nyumba za walimu (six in one) zilizojengwa na mradi wa SEDPII katika Sekondari ya Malula.

Mtaalamu wa ardhi akionesha eneo lililopangwa kujengwa miradi ya Uwekezaji katika eneo la Madira wakati wa ziara ya Wahe. Madiwani kamati ya fedha.

Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Arusha akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Arumeru tarehe 25.08.2016


ZABUNI

MATUKIOHabari Mpya

 

meridc_db