Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anawatangazia watanzania wote wenye sifa ya kuomba nafasi za ajira za watendaji wa vijiji kwa masharti ya kudumu .
Aidha tangazo hili ni baada yakupokea kibali cha ajira mbadala chenye kumb.Na CFC .26/205/01 "FF" 19 cha tarehe 22/08/2017 pamoja na barua ya nyongeza ya muda wa utekelezaji wa kibali cha ajira mbadala kwa watendaji wa Vijiji na Mitaa chenye Kumb. Na.CFC.26/205/01 "GG"/95 cha tarehe 12/03/2018 .Vibali hivi ni kutoka kwa Katibu mkuu Ofisi ya Raisi menegiment ya utumishi wa umma na utawala bora.
kuona nafasi hizi za kazi fungua hapa pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa