Jumapili, tarehe 9 Disemba 2018, nchi yetu (Tanzania Bara), itatimiza miaka 57 tangu kupata Uhuru wake kutoka Utawala wa Uingereza.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru itaadhimisha miaka 57 ya uhuru wa Tanganyika (Tanzania bara )kwa kufanya usafi kuanzia ngazi za vijiji.
Ikumbukwe kuwa mwaka huu 2018 Halmashauri ya Meru imekuwa mshindi wa pili kitaifa katika mashindano ya Afya na usafi wa mazingira .
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa