Msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Madiwani Jimbo la Arumeru Mashariki Dkt. Wilson Mahera Charles anawakumbusha Wananchi wa Kata zifuatazo Ambureni,Makiba,Maroroni,Leguruki na Ngabobo kuwa uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata hizo utafanyika tarehe 26/11/2017.
Aidha majina ya wagombea walioteuliwa na Tume ya Taifa ya uchaguzi(NEC) kugombea nafasi ya Udiwani katika Jimbo la Arumeru Mashariki kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika tarehe 26 Novemba 2017 ni kama ifuatavyo ,pakua hapa MAJINA YA WAGOMBEA.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa