Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Meru anawakumbusha watumishi wote wa makao makuu ya wa Halmashauri kua kesho Tarehe 10 Juni 2017 ni siku ya kufanya mazoezi ya viungo ili kuepuka magonjwa yasiyoambukiza ,mazoezi hayo yatafanya kuanzia saa 12:30 asubuhi pia taasisi nyingine na wananchi wanakaribisha kushiriki kwa kuungana na watumishi wa makao makuu
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa