Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anawatangazia wananchi wote kuhudhuria mkutano wa baraza la Halmashauri utakaofanyika tarehe 15 na 16 Agosti 2018 kuanzia saa 4:00 kamili asubuhi.
Mkutano huo ni wa kawaida kwa mujibu wa sheria za Serikali za mitaa,utajadili shughuli za maendeleo kwa kipindi cha robo ya nne Aprili hadi Juni mwaka wa fedha 2017/2018.
Tarehe 17 Agusti 2018 kutafanyika mkutano wa mwaka.
Mikutano yote itafanyika katika ukumbi wa Halmashauri .
Wananchi wote wa Halmashauriya Meru mnakaribisha.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa