Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anawakumbusha wafanya biashara wote ndani ya Halmashauri kulipia leseni zao za biashara kwa wakati, pia msimu wa leseni za vileo umeanza tarehe 01.04.2017 hivyo wafanya biashara wote wa vileo wanatakiwa kuja kuhuisha (RENEWAL) leseni zao.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa