Afisa Mwandikishaji, Jimbo la Arumeru Mashariki anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kuwa Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operators, kuwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika kata zote za Halmashauri ya Meru litaanza hivi karibuni.
Hivyo anakaribisha maombi kutoka kwa wananchi kuanzia leo tarehe 02.07.2019 hadi tarehe 08.07.2019.
Maombi yatumwe kwa:-
AFISA MWANDIKISHAJI,
JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
S.L.P 462,
USA -RIVER.
BOFYA BARUA YA TANGAZO.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa