Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki Ndg.Emmanuel Mkongo anawatangazia Wananchi wote, kuwa mchakato wa Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo humo unaendelea, ambapo zoezi la uchukuaji fomu limeanza leo tarehe 15 Aprili na litahitimishwa siku ya Ijumaa tarehe 19.04.2019 saa 10:00 Jioni .
Aidha baada ya zoezi la urudishaji fomu kukamilika, hatua nyingine zitafuata kwa mujibu wa sheria na taratibu za uchaguzi.
Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki unatarajiwa kufanyika tarehe 19 Mei 2019.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa