Msimamizi wa uchaguzi mdogo wa madiwani Jimbo la Arumeru Mashariki Mwl.Damari .A Mchome anawatangazia wananchi wa kata zifuatazo Ambureni,Maroroni,Makiba,Leguruki na Ngabobo uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata hizo utafanyika tarehe 26/11/2017
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa