Jumapili ya tarehe 17 Disemba 2017 itakua ni kilele cha huduma ya utoaji wa matone ya vitmini A,dawa za minyoo na upimaji hali ya lishe kwa watoto wenye umri wa kuanzia miezi 6 hadi 59,
Huduma hii itatolewa kwenye vituo vyote vya Afya na kila Kijiji kitakua na kituo maalumu, kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa