Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anawatangazia wananchi wenye maeneo ya Ardhi kwenye eneo la Malula ambalo hapo awali lilikua litumike na EPZA kuwasilisha nyaraka zao za umiliki wa maeneo yao kwenye ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru ndani ya siku 30 kuanzia tarehe ya tangazo hili .
Aidha Kushindwa kufanya hivyo katika muda uliopangwa itachukuliwa kuwa muhusika sio mmiliki wa eneo hilo hivyo hatakua na haki ya kulipiwa fidia yoyote ya ardhi hiyo pindi itakapotwaliwa na serikali kwa shughuli za bandari ya nchi kavu.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa