Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo anatarajia kufanya ziara ya siku moja katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru tarehe 06 Septemba 2018.
Katika ziara hiyo inayolenga kukagua Miradi ya Afya, Mhe. Gambo ataanza kwa kuzung umza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Kisha Kukagua Vituo vya Afya Usa River, Mbuguni na Momela. Na kuhitimisha kwa Mkutano wa Hadhara ya wananchi katika maeneo ya Usa River.
"WOTE MNAKARIBISHWA"
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa