katika kuhakikisha watumishi wa umma kwa kuzingatia ni wajibu wao kuwahudumia kwa weledi,wakati, bila ubaguzi wa dini au kabila au eneo analotoka mtu hii ni kwa mujibu wa sheria ,kanuni na taratibu za utumishi wa umma
Halmashauri ya Meru kupitia idara ya Afya imefunga kifaa cha kuandikisha mahudhurio kwa njia ya kielektroniki( (Biometric finger print) ambapo watumishi wa idara hii watajiandikisha wakati wa kuingia na kutoka kazin,
Akizungumza wakati akionesha mfano wa kutumia kifaa hicho dr Peter mboya( mganga mfawidh) amesemai lengo la kufunga kifaa hicho ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za afya kwa watumishi wa idara hiyo kutochelewa na kuacha utoro kazini
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa