• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

KIJIJI CHA MAKIBA KUNUFAIKA NA MRADI MPYA WA USAMBAZAJI MAJI

Imewekwa: November 20th, 2017


Kijiji cha Makiba chenye vitongoji 4 ambavyo ni Songambele,Makiba,Korona na Mtoni,vitongoji vyote hivi  vyenye jumla ya idadi ya watu wasiopungua Elfu 3 kina Mradi mmoja wa Maji ya kisima ambao una vituo vichache vya kuchotea Maji , jambo ambalo limekua changamoto  ya upatikanaji wa Maji  katia kijiji hicho.Haya yamedhihirika kwenye mkutano wa Hadhara wa wananchi wa kijiji hicho walipopokea kwa furaha Utambulisho wa Mradi Mpya wa usambazaji maji  kama inavyolekeza Sera ya maji ya 2002 kuwataka wananchi kushiriki katika uibuaji wa miradi ya Maji.

Akizungumza kwenye mkutano huo mwenyekiti wa kijiji hicho Joseph Adamu ameeleza kua baadhi ya wanakijiji  wameshindwa kuhudhuria mkutano huo kutoka na shughuli mbali mbali kuingiliana pia Ameishukuru Halmashauri ya Meru kwa kupeleka mitambo yake katika kijiji hicho iliyotengeneza tuta la kuzuia maji yaliyokua adha kubwa kwa kusababisha mafuriko kipindi cha mvua  katika Shule ya Sekondari Makiba akitia msisitizo kwa kumweleza mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Kristopher J. Kazeri  " Mkurugenzi hii ndio maana ya  huduma kwa wananchi " 

Wananchi hao wametoa mapendekezo mbali mbali ikiwemo vitongoji vyote kupata maji kwani yaliyopo hayatoshelezi pia wame lalamikia la bei ya Maji kuwa juu kulinganisha na  hali zao za kiuchumi Naye Mwandisi wa Halmashauri hiyo Happy Mrisho amepokea maoni ya wananchi hapo pia amesema kuhusu upatikanaji wa maji katika mradi mpya wataainisha na vituo kwaajili ya kunweshea mifugo  kwani jamii ya watu wa Makiba ina wafugaji pamoja na kuweka vituo vya kuchotea maji vya kutosha kwa umbali wa miata 400


Matangazo ya Kawaida

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE,KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE. January 15, 2021
  • MKUTANO WA BARAZA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU January 24, 2021
  • WANAFUNZI 120 WA KIDATO CHA KWANZA WAPANGWA AWAMU YA PILI SHULE YA SEKONDARI KIKWE. February 12, 2021
  • USHAURI WA KITAALAM JUU YA KUDHIBITI UHARIBIFU WA MITI UNAOSABABISHWA NA MDUDU(MCHWA) July 05, 2019
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • ZOEZI LA UPIMAJI ARDHI KITONGOJI CHA ARUDECO KUANZA RASMI TAREHE 19 APRILI 2021.

    April 14, 2021
  • MERU YAPATA HATI SAFI MARA 3 MFULULIZO.

    April 09, 2021
  • SERIKALI YATOA SH. MILIONI 60 KWAAJILI YA MAJI SHULE YA SEKONDARI KISIMIRI

    March 08, 2021
  • WANAWAKE MERU WATAKIWA KUSHIRIKIANA

    March 08, 2021
  • Tazama Vyote

Video

Salamu za sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya 2021.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 027 297-482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa