Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Ndg.Christopher J. Kazeri amewaagiza watendaji wa kata na vijiji kuwajibika katika maeneo yao ya kazi ikiwa ni kuhakikisha wafanya biashara wote katika vituo vyao vya kazi wanaleseni za biashara pia amesisitiza kulinda vyanzo vya maji ,kupiga marufuku,uhamasishaji wananchi kujiunga na mfuko wa jamii CHF na kuzingatia sheria za kudumu kazini
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa