• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

MBUNGE WA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI AKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI (Certificate of election)

Imewekwa: May 19th, 2019

Msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki, Ndg.Emmanuel Mkongo amemtangaza rasmi John D. Pallangyo wa chama cha Mapinduzi(CCM) kuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki na kumkabidhi cheti cha ushindi.

Aidha Mkongo Amesema kwa mujibu wa kifungu namba 66 (2 )cha sheria ya uchaguzi wa Rais na Wabunge  ya  mwaka 2015 na kifungu namba  81(b) cha sheria ya Taifa ya uchaguzi sura namba 345 mshindi wa uchaguzi hukabidhiwa cheti siku ya uchaguzi.

Aidha Mkongo amefafanua kuwa Kwa mujibu wa kifungu  namba 45(2 )cha sheria za uchaguzi wa serikali za Mitaa,namba 4 ya mwaka 1979 sura 292.  John D.Pallangyo alipita bila kupingwa kati ya wagombea 11   baada ya zoeli la uchukuaaji na urejeshaji  fomu lililomalizika  tarehe 19 Aprili 2019.

Mbunge John D. Pallangyo anatarajiwa kuapishwa na Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania hivi karibuni.





Matangazo ya Kawaida

  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU December 06, 2019
  • USHAURI WA KITAALAM JUU YA KUDHIBITI UHARIBIFU WA MITI UNAOSABABISHWA NA MDUDU(MCHWA) July 05, 2019
  • MATUNDA YA ELIMU BURE HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU. September 20, 2019
  • Jamii yatakiwa kukamilisha miundombinu inayohitajika ili shule za sekondari zisajiliwe. October 05, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • WENYEVITI WA VIJIJI, WENYEVITI WA VITONGOJI NA WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI WALA KIAPO

    November 28, 2019
  • Jamii yatakiwa kuzingatia elimu ya afya ili kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza .

    November 14, 2019
  • Uongozi na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meu wanawatakia kila la kheri wanafunzi wa kidato cha Pili.

    November 13, 2019
  • Zoezi la kuchukua na kurejesha fomu za ugombea lakamilika vizuri katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru.

    November 04, 2019
  • Tazama Vyote

Video

Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 027 297-482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa