• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

HALMASHAURI YA MERU YANUFAIKA NA MADAWATI 280 TOKA KWA WAKALA WA MISITU SHAMBA LA MERU/USA

Imewekwa: December 12th, 2017


Tarehe 12 Disemba 2017,Halmashauri ya Meru imepokea  jumla ya madawati 280 toka kwa Wakala wa Misutu shamba la Miti Meru/Usa kwaajili ya wanafunzi katika shule zake za  Msingi tano  ambazo ni Shule ya Msingi Kiwawa ambayo  imepewa madawati 56, Shule ya Msingi Urisho imepewa madawati 56, Shule ya Msingi Sangananu  imepewa madawati 56, Shule ya Msingi Ngongongare imepewa madawati 56 na Shule ya Msingi Sakila  imepewa madawati 56.

Aidha Meneja wa Wakala wa msitu shamba la Meru/Usa Robert Faustine ameeleza kuwa wamefikia uamuzi huo wa kutengeneza na kukabidhi Wilaya ya Arumeru madawati 740 kwaajili ya Halmashauri  zake mbili  Meru na Arusha vijijini   kwa ajili ya Shule zilizopo kwenye Vijiji vinavyopakana na shamba hilo  kama tendo la kuiunga mkono Serikali ya awamu ya tano kwenye jitihada katika  maswala ya maendeleo kwenye Sekta mabalimbali ikiwemo elimu kwa kuwezesha mazingira rafiki kwa Wanafunzi pia amefafunua kua ni utekelezaji wa ombi la aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Mhe.Alexander  P. Myeti ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara

Kaimu mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Idd H. Kimanta ,ambaye pia ni mkuu wa Wilaya ya Monduli  ameushukuru uongozi wa Shamba la Miti Meru/Usa kwa kuunga mkono Serikali ya awamu ya tano kwenye jitihada zake za kuboresha mazingira ya elimu na kuwezesha upatikanaji wa elimu bora kwa kila mtoto ,pia amewaagiza Watendaji wa Kata na Vijiji kuhakikisha Misitu iliyopo kwenye maeneo yao inahifadhiwa na kulindwa ili jamii inufaike na faida za Misitu hiyo.

Walimu wakuu wa shule zilizonufaika na mgao huu wa madawati wameushukuru uongozi wa shamba hilo la miti na kuwaomba wadau wengine kujitokeza kuchangia shughuli za maendeleo kwenye jami.


Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE SEMINA YA MAFUNZO YA UCHAGUZI MKUU 2025 October 16, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • DED MERU DC AKABIDHI VYETI KWA TAASISI ZINAZO FANYA VIZURI MERU DC

    August 07, 2025
  • TFS YATOA MSAADA WA MBAO TAKRIBANI MIA 8 HOSPITALI YA WILAYA YA MERU

    August 07, 2025
  • MERU DC YAIBUKA MSHINDI WA PILI MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI

    August 08, 2025
  • UZINDUZI WA JENGO LA TEHAMA SHULE YA SEKONDARI PATANDI MAALUM

    August 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa