Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango wamefanya ziara ya siku mbili ya kukagua miradi ya Maendeleo inayotekelezwa ndani ya halmashauri kwa mwaka huu wa fedha 2016/2017.
Katika ziara hiyo wajumbe wa Kamati ya Fedha wametembelea na kukagua jumla ya miradi malimbali katika kata kata za Mula, Shambarai Burka, Kikatiti, Imbaseni, Usa -River, Akheri, nk
Wakizungumza wakati wa wakikao cha majumuisho Wajumbe hao licha ya kuridhishwa kwa aslimia kubwa ya utekelezaji wa miradi hiyo waliuagiza uongozi wa halmashauri kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati kwa kuzingatia weledi na ubora wa miradi unaoendanana thamani halisi ya fedha
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa