Afisa uandikishaji jimbo la Arumeru Mashariki ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Ndg.Emmanuel Mkongo amewataka waandi shiwasaidizi na BVR KIT operators kuwahudumi a vizuri wananchi kwenye zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia lugha yenye staha sambamba na kutoa maelekezo sahihi na ufafanuzi kwa wanachi hao ili kufanikisha kwa ufanisi zoezi hilo nyeti na muhimu kwa Taifa.
Mafunzo kwa waandishi wasaidizi na BVR KIT Operators yanafanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Goodwillings Kata ya Poli.
Aidha waandishi wasaidizi na BVR KIT Operator wamekula kiapo cha kazi ya uandikishaji wa uboreshaji daftari la wapiga kura.
Afisa mwandikishaji Jimbo la Arumeru Mashirika Ndg. Emmanuel Mkongo .
Afisa Uandikishaji Jimbo la Arumeru Mashariki akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa waandishi wasaidizi na BVR KIT Operators.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa