• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

MADIWANI MERU WATAKIWA KUZINGATIA SERA, SHERIA ,KANUNI NA TARATIBU KUFANYA MAAMUZI.

Imewekwa: December 17th, 2020

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru waaswa kuzingatia tamko la maadili ili kutekeleza majukuumu yao kwa maslahi mapana ya Halmashauri.

Rai hiyo imetolewa na Afisa kutoka Tume ya Maadili ya Viongozi,  Ndg. Baraka Mgimba  wakati  wa semina ya siku moja  ya kuwajengea uwezo Madiwani  wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru ambayo imefanyika katika ukumbi wa Halmashauri hiyo.

Afisa kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndg.Moses Mabula   amesema katika kufanya maamuzi na kutoa maagizo Madiwani wanapaswa kuzingatia Sera, Sheria ,Kanuni na Taratibu na Miongozo ili kuleta tija katika swala zima la maendele ya  Halmashauri.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Ndg. Emmanuel J. Mkongo amesema kuna Umuhimu mkubwa kwa Madiwani kurejea mafunzo hayo ili kufanya maamuzi na kutekeleza wajibu wao kwa mujibu wa Sheriana Kanuni.

Aidha, katika semina hiyo elekezi mada za Majukumu ya Diwani, Maadili ya Viongozi, utekelezaji wa miradi ya maendeleo,uendeshaji wa Vikao vya Halmashauri , Manunuzi
 ya umma na matumizi ya fedha za Umma zilitolewa.

Afisa kutoka Tume ya Maadili ya Viongozi,  Ndg. Baraka Mgimba akitoa mafunzo wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru.

katikati ni Mhe.Jeremia Kishili Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Kushoto kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Bi. Felister Nanyaro, Kushoto mwa Makamu  ni Mhe.John D. Pallangyo Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,kulia mwa Mwenyekiti ni Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Ndg.Emmanuel Mkongo,kulia mwa Mkurugenzi  ni  Mwakilishi wa Katibu Tawala  Wilaya ya Arumeru Ndg. Anacleth Mshashu.

Afisa kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndg.Moses Mabula akizungu wakati wa Semina.

Waheshimiwa Madiwani wakati wa mafunzo.

Mkuu wa Kitengo cha Sheria Halmashauri ya Wilaya ya Meru Ndg.Jonathan Kiama akizungumza wakati wa  Semina kwa Madiwani .

Waheshimiwa Madiwani wakati wa mafunzo.

Waheshimiwa Madiwani wakati wa mafunzo.

Mkuu wa Idara ya Utawala na rasilimali watu, Bi. Grace Mbilinyi akizungumza wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo Madiwani.

Waheshimiwa Madiwani wakati wa mafunzo.

Waheshimiwa Madiwani wakati wa mafunzo.

Mwekahazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Ndg.Julius Ndyanabo Akizungumza wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo Madiwani.

Waheshimiwa Madiwani wakati wa mafunzo.

Mkuu wa Idara ya Mipango Ndg.Maarufu Mlwaya akizungumza wakati wa Semina kwa Madiwani.
Waheshimiwa Madiwani wakati wa mafunzo.


Waheshimiwa Madiwani wakati wa mafunzo.

Matangazo ya Kawaida

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE,KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE. January 15, 2021
  • USHAURI WA KITAALAM JUU YA KUDHIBITI UHARIBIFU WA MITI UNAOSABABISHWA NA MDUDU(MCHWA) July 05, 2019
  • MATUNDA YA ELIMU BURE HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU. September 20, 2019
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU December 06, 2019
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MARUFUKU KUWARUDISHA WANAFUNZI MAJUMBANI

    January 22, 2021
  • Kamati ya Fedha ,utawala na mipango Halmashauri ya Wilaya ya Meru imekamilisha ziara yake ya siku 2 ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo.

    January 19, 2021
  • Halmashauri ya Wilaya ya Meru yashika nafasi ya 3 kitaifa matokeo ya kidato cha nne.

    January 15, 2021
  • Naibu waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI aridhishwa na ujenzi wa shule Bora ya mfano Nchini.

    January 14, 2021
  • Tazama Vyote

Video

Salamu za sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya 2021.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 027 297-482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa