• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

MARUFUKU KUWARUDISHA WANAFUNZI MAJUMBANI

Imewekwa: January 22nd, 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru  Ndg. Emmanuel Mkongo amepiga marufuku Walimu Wakuu, Wakuu wa Shule,  Watendaji Kata na Vijiji kuwarudisha nyumbani Wanafunzi ambao Wazazi wao hawajatoa michango ya Chakula na Katarasi ambayo  wamekubaliana kwenye Vikao Kamati za Shule,Bodi za Shule, Halmashauri za Vijiji na Mikutano Mikuu.

Katazo hilo, ni baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya Wananchi na Wazazi kulalamikia vitendo vya Wanafunzi kurejeshwa majumbani kutokana na   wazazi wao kutokutoa michango .

Mkongo, amesema Halmashauri hiyo haitasita kuwachukulia hatua kali za kinidhamu Walimu  au Watendaji watakaohusika  kuwarudisha nyumbani Wanafunzi kwa sababu za michango kwani kufanya hivyo ni kinyume na maelekezo ya Waraka wa Elimu Na. 3 wa mwaka 2016.

Aidha, Mkongo ametoa agizo hilo  wakati wa Mkutano na  Waheshimiwa Madiwani wa Kata ya Mbuguni na Shambarai Burka, Wenyeviti wa Vijiji, Wenyeviti wa Vitongoji, Wajumbe wa Halmashauri za Vijiji, Watendaji wa Kata na Vijiji, Walimu na Waratibu Elimu wa Kata hizo uliofanyika katika Ukumbi wa  Ofisi za Tarafa ya Mbuguni.

Ikumbukwe kuwa  Serikali imekuwa ikitoa fedha kwaajili ya utoaji wa Elimu Bila Malipo katika shule za Sekondari na Msingi katika Halmashauri ya Meru.

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE SEMINA YA MAFUNZO YA UCHAGUZI MKUU 2025 October 16, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • DED MERU DC AKABIDHI VYETI KWA TAASISI ZINAZO FANYA VIZURI MERU DC

    August 07, 2025
  • TFS YATOA MSAADA WA MBAO TAKRIBANI MIA 8 HOSPITALI YA WILAYA YA MERU

    August 07, 2025
  • MERU DC YAIBUKA MSHINDI WA PILI MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI

    August 08, 2025
  • UZINDUZI WA JENGO LA TEHAMA SHULE YA SEKONDARI PATANDI MAALUM

    August 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa