Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo tarehe Mosi Mei, 2017 amesema Serikali ya awamu ya tano imepanga kufanya nyongeza ya kawaida ya kila mwaka katika mishahara ya watumishi yaani (Annual increment) ambayo ilikuwa Imesimama kwa muda mrefu ikiwa ni pamoja na kupandishwa cheo ( promotioni). Haya ameyasema alipokua akihutubia wananchi ikiwa ni Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo nchini yamefanyika Kitaifa katika Chuo cha Ushirika, Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa