Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Alexander Mnyeti amweleza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi zinafanyika katika wilaya yake.
Mkuu huyo wa Wilaya alieleza hayo wakati Waziri Mkuu alipokuja kufanya ukaguzi wa mradi wa barabara ya Sakina Tengeru na kusalimiana na wananchi maeneo ya Tengeru.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa