Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Mashariki Ndg.Emmanuel J. Mkongo amekabidhi tena, fomu ya Uteuzi wa kugombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki kwa Dkt.John D. Pallangyo wa Chama cha Mapinduzi CCM,
Aidha Msimamizi huyo wa Uchaguzi, amemkabidhi fomu ya Uteuzi kwa Dkt.John D. Pallangyo wa Chama cha Mapinduzi CCM, kufuatia Maelekezo ya Fomu ya Uteuzi Na. 8B, kwa mujibu wa Kifungu cha 38 (3) na (4) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi sura ya 343 ikiweka wazi mambo yaliyojumuishwa kwenye fomu ya Uteuzi.kwenye fomu ya Uteuzi.
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Mashariki Ndg.Emmanuel J. Mkongo(kulia) akimkabidhi fomu ya Uteuzi wa kugombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki Dkt. John D. Pallangyo wa Chama cha CCM.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa