Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Arumeru Masharuki Ndg.Emmanuel J. Mkongo ateua Wagombea toka vyama 3 vya siasa kuwania nafasi ya Ubunge jimboni humu katika uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na madiwani utakaofanyika tarehe 28 mwezi Octoba 2020. Aidha wateule toka vyama vitatu vya siasa waliokidhi vigezo na kuteuliwa kugombea uchaguzi Jimboni humu ni Dkt.John D. Pallangyo wa Chama cha Mapinduzi CCM, Bi. Rebecca M.Mngodo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na Bi. Evaline Kaaya wa chama cha NCCR Mageuzi.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa