• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

WANAFUNZI KUJUA KUSOMA,KUANDIKA,KUHESABU NI JUKUMU LA SERIKALI ZA VIJIJI /WAZAZI

Imewekwa: April 14th, 2018

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa taarifa ya utafiti ya uliofanywa na shirika lililopo chini ya Twaweza la Uwezo Tanzania  kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Meru mwaka 2015 juu ya mradi ulio anzishwa na Serikali ili kumwezesha mwanafunzi kujua kusoma,kuandika na kuhesabu (KKK )  kabla ya kufika darasa la 3 ,Kaimu mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe.Idd Kimanta amezikumbusha Serikali za vijiji kutekeleza  jukumu  la kuhakikisha maendeleo ya shule ni ajenda ya kudumu kwenye vikao  kwani huwezi kujadili maendeleo ya shule bila kujadili uwezo wa wanafunzi kujua kusoma,kuandika na kuhesabu yaani (KKK)  pia  amesema mbali na changamoto zilizopo ,serikali imetengeneza mazingira rafiki ya elimu bora kwa kutatua changamoto ya wanafunzi kukaa chini pamoja na kutoa fedha za ruzuku (capitation fund)  kwenye shule za msingi na sekondari pia na kuwezesha madarasa ya awali kuzungumza.

Diwani wa Kata ya Nkoaranga Zephania Mwanuo ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya elimu,afya na maji ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru amepongeza uanzishwaji wa mradi wa KKK pia ametoa rai kwa wazazi kutimiza wajibu wao kwenye elimu kwani wengi wamekua wakikimbizana na harakati za maisha bila kufuatilia mwenendo wa kielimu wa watoto wao.

Naye mthibiti mkuu wa ubora wa shule kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Meru  Ndg.Onesmo J. Oleteipa amesema idara ya elimu itatumia taarifa hiyo  ya utafiti  kama nyenzo na kuweka mikakati ya utatuzi wa mapungufu yaliyo jitokeza  kufafanua kuwa kunatofauti kubwa kwenye uhalisia wasasa kwenye matumizi ya KKK   na taarifa ya utafiti uliofanywa na twaweza kwani ni wakipindi kirefu miaka 3 akithibitisha hilo ametoa mfano " Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru Christopher J. Kazeri alitoa agizo kwa watendaji wa vijiji Kudhibiti mahudhurio ya wanafunzi  jambo lililozaa matunda ambapo kwa utafiti wa idara ya elimu uliofanyika mwaka huu 2018 umeonyesha mahudhurio ya wanafunzi kuwa zaidi ya asilimia 85.

walimu waliohudhuria uzinduzi huo wameshauri ni muhimu walimu kujengewa uwezo wa kutosha kufundisha madarasa ya awali ambayo ndio msingi mkuu wa KKK.Mmoja wa walimu hao Mwl. Asina R. Mkilindi ameomba Serikali somo la kingereza linaloanza kufundishwa kuanzia darasa la 3 kuanza kufundishwa kuanzia darasa la kwanza kwani kwa sasa walimu ni wengi wanaotolewa kwenye shule za sekondari kufundisha msingi.


Naye mzazi Samweli Imani amesema yeye kama mzazi atashirikiana na walimu ili kuhakikisha mtoto wake anajua kusoma na kuandika na kuhesabu.





Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO WIKI YA UTYUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA

    June 13, 2025
  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa