• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Shilingi Milioni 160 za mapato ya ndani kukamilisha vyumba vya madarasa.

Imewekwa: January 5th, 2021

Halmashauri ya Wilaya Meru kupitia fedha za mapato yake ya ndani (Own Source) imetumia zaidi ya  Shilingi Milioni 160  kununua vifaa vya ujenzi. Vifaa hivyo vinajumuisha Bati 1860 yaliyonunuliwa kwa shilingi 48,259,004.51,Mbao shilingi 64,598,752.00 na  Saruji mifuko 3325 kwa shilingi 48,212,500 kwaajili ya ukamilishaji wa vyumba vya Madarasa.

Mikakati hii ya ununuzi wa vifaa kwa jumla (bulk procurement) ni utekelezaji wa agizo la Serikali la kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021  wanaanza masomo mapema.

Aidha, katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru idadi ya wanafunzi 6,851 walichaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kati yao 5216 wamepangwa kwa awamu ya kwanza na 1,635  wanasubiri kupangwa kwa awamu ya pili baada ya vyumba vya madarasa kukamilika.

Aidha , kumekuwa na ongezeko la wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza kutokana na kupanda kwa ufaulu kutoka asilimia  92.02 mwaka 2019 hadi 93.22 katika mtihani wa kumaliza  elimu ya Msingi mwaka 2020. Bofya

Matangazo ya Kawaida

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE,KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE. January 15, 2021
  • USHAURI WA KITAALAM JUU YA KUDHIBITI UHARIBIFU WA MITI UNAOSABABISHWA NA MDUDU(MCHWA) July 05, 2019
  • MATUNDA YA ELIMU BURE HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU. September 20, 2019
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU December 06, 2019
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MARUFUKU KUWARUDISHA WANAFUNZI MAJUMBANI

    January 22, 2021
  • Kamati ya Fedha ,utawala na mipango Halmashauri ya Wilaya ya Meru imekamilisha ziara yake ya siku 2 ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo.

    January 19, 2021
  • Halmashauri ya Wilaya ya Meru yashika nafasi ya 3 kitaifa matokeo ya kidato cha nne.

    January 15, 2021
  • Naibu waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI aridhishwa na ujenzi wa shule Bora ya mfano Nchini.

    January 14, 2021
  • Tazama Vyote

Video

Salamu za sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya 2021.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 027 297-482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa