• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

TAKUKURU yaokoa Jumla ya Tshs. 21,700,000/= Wilayani Arumeru.

Imewekwa: September 23rd, 2020

Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Ndg.Deo Mtui ambaye ni Mkuu wa TAKUKURU Wilayani Arumeru , amesema kiasi cha shilingi 21,700,000/= zimekabidhiwa kwa Wananchi  7 .

Mtui amefafanua kuwa katika fedha hizo kiasi cha Sh.7,500,000 kimekabidhiwa kwa Waalimu  6 wa shule ya Sekondari Mariado ambao ni,  Mwl.Abdallah Marambo, Mwl. Ezekiel Mwaipopo,Mwl.Andrew Mike, Mwl.Samson Hamza,Mwl.Christina Lekashu na Mwl.Ellen A. Lomau ikiwa ni mishahara  yao ambayo hawakulipwa na mwajiri. Pia kiasi cha Tshs.  14,000,000/= kimekabidhiwa kwa  Emmanuele  Kilembe ambaye alidhulimiwa katika mauzo ya gari lake kinyume na mkataba wa mauziano.

Aidha Mtui ametoa Wito kwa wananchi kuendelea kuiamini TAKUKURU na endapo wanamalalamiko ambayo wanasadiki ni malalamiko ya kweli, wasisite kufika TAKUKURU na kama ilivyo Ada, TAKUKURU itayafanyia kazi na kuhakikisha wanapata haki yao.

Aidha, Mkuu wa Wilaya hiyo Ndg.Jerry Muro amesema Serikali haitamfumbia macho yeyote anayewadhulumu Wananchi ambapo amemwagiza Mkuu wa TAKUKURU  Wilaya hiyo kumkamata mtu mmoja ndani ya masaa 48 anayedaiwa kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi kwa kuuza ardhi  kwa mtu zaidi ya mmoja.

Muro amewaonya wanaofanya biashara ya mikopo kinyume na taratibu kwani wamek uwa wakiwanyanyasa wananchi kwa mikopo yenye riba kandamizi sambamba na kuchuk ua vitambulisho vya taifa vya wananchi hao. "ni muhimu kusajili biashara ili iwe halali na kufanyika kwa kuzingatia taratibu"amesisitiza Muro.

Wananchi waliopata haki  kwa kukabidhiwa fedha zao wameishukuru Serikali kutetea haki za wanyonge ambapo Mwl. Abdalah  Malambo  ameushukuru uongozi wa Wilaya na kukiri  kunufaika na sera ya Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufulu   kujali wanyonge .

Emmanuel  Kilembe ambaye amekabidhiwa Tshs. 14,000,000/= kama mauzo ya Gari lake amesema amefarijika sana na utendaji wa awamu ya tano kwani neno hapakazi tu linatekelezwa.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Ndg.Jerry Muro (kulia) akikabidhiwa fedha na Ndg.Deo Mtui ambaye ni Afisa TAKUKURU Wilayani humo kiasi cha Tsh.Milion 21,700,000 kwaajili ya kuwakabidhi wanachi 7 waliodhulumiwa.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru (kulia) akimkabidhi Ndg.Emanuel G. Kilembe  Tshs. 14,000,000/= alizozulumiwa kwenye mauzo ya Gari lake.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru (kulia) akimkabidhi Mwl. Abdalah  Malambo   mishaara aliyokuwa hajalipwa na mwajiri wake.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru akimkabidhi Mwalimu mishaara aliyokuwa hajalipwa na mwajiri wake.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru akimkabidhi Mwalimu mishaara aliyokuwa hajalipwa na mwajiri wake.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru akimkabidhi Mwalimu mishaara aliyokuwa hajalipwa na mwajiri wake.

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO WIKI YA UTYUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA

    June 13, 2025
  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa