Msimamizi huyo wa Uchaguzi,Jimbo la Arumeru Mashariki Ndg.Emmanuel J. Mkongo ametangaza ratiba ya Kampeni za Uchaguzi kuanza rasmi tarehe 26 Agosti mpaka tarehe 27 Oktoba, 2020 na kuwataka wagombea wote walioteuliwa, kufanya kampeni za kistaarabu na ikiwa ni kuzingatia Sheria na kanuni za uchaguzi.
Aidha, ametoa wito kwa wananchi kwenda kwenye Mikutano ya kampeni na kusikiliza sera za wagombea ili kuchagua viongozi bora siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ifikapo ya tarehe 28 Oktoba 2020.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa