• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

WANANCHI MERU WASHAURIWA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA AFYA KATIKA HOSPITALI ZA SERIKALI

Imewekwa: September 18th, 2018

Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wameshauriwa kupata huduma bora na zenye uhakika zinazotolewa na  Hospitali ya Wilaya, Vituo vya Afya na zahanati za Serikali zilizopo .Ushauri huo ameutoa kiongozi wa mbio za mwenge Kitaifa Ndg.Charles Kabeho  alipozindua jengo la kinywa na meno katika Hospitali ya Wilaya ya Meru(Tengeru).

Aidha Ndg.Kabeho amesema ameridhishwa na ujenzi wa jengo hilo pamoja na mashine zilizopo zinatosha kutoa huduma hivyo jamii haina budi kunufaika na huduma za afya ya kinywa na meno katika Hospitali hiyo.

Naye Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo Dkt.Cosmas Kilasara amesema huduma zinazotolewa kwenye jengo hilo ni usafishaji wa meno, uwekaji wa meno bandia, uzibaji wa meno yaliyotoboka pamoja na Ung'oaji wa meno .

BAADHI YA PICHA ZA TUKIO.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Ndg.Charles Kabeho akizungumza wakati wa uzinduzi wa jengo la kinywa na meno katika Hospitali ya Wilaya Tengeru.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Ndg.Charles Kabeho akiweka jiwe la uzinduzi katika jengo la kinywa na meno katika Hospitali ya Wilaya Tengeru.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Ndg.Charles Kabeho baada ya kuweka jiwe la uzinduzi katika jengo la kinywa na meno katika Hospitali ya Wilaya Tengeru.

Watumishi wa Idara ya Afya wakishangilia uwekaji jiwe la Uzinduzi katika jengo la kinywa na meno katika Hospitali ya Wilaya Tengeru.

Matangazo ya Kawaida

  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU December 06, 2019
  • USHAURI WA KITAALAM JUU YA KUDHIBITI UHARIBIFU WA MITI UNAOSABABISHWA NA MDUDU(MCHWA) July 05, 2019
  • MATUNDA YA ELIMU BURE HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU. September 20, 2019
  • Jamii yatakiwa kukamilisha miundombinu inayohitajika ili shule za sekondari zisajiliwe. October 05, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • WENYEVITI WA VIJIJI, WENYEVITI WA VITONGOJI NA WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI WALA KIAPO

    November 28, 2019
  • Jamii yatakiwa kuzingatia elimu ya afya ili kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza .

    November 14, 2019
  • Uongozi na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meu wanawatakia kila la kheri wanafunzi wa kidato cha Pili.

    November 13, 2019
  • Zoezi la kuchukua na kurejesha fomu za ugombea lakamilika vizuri katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru.

    November 04, 2019
  • Tazama Vyote

Video

Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 027 297-482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa