kutofanya mazoezi ni hatari kwa afya na hakuna vidonge vya vitamini, dawa, chakula, au upasuaji unaoweza kuchukua mahali pa uhitaji wa kufanya mazoezi, ikumbukwe Mazoezi ya mara kwa mara au kufanya kazi zinazohusisha matumizi ya nguvu ya mwili yanasaidia mifumo mingi ya mwili kufanya kazi inavyotakiwa, mazoezi yatatuepusha na magonjwa mbalimbali kama magonjwa ya moyo,kisukari pia ni njia nzuri ya kupunguza uzito wa mwili uliozidi na hupunzisha akili.
Kwakutambua hilo watumishi wa Halmashauri ya Meru wameimarisha miili yao kwa kufanya mazoezi 14/10/2017 siku ya jumaosi ya pili ya mwezi
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa