Imewekwa: December 27th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Amir Mkalipa amewataka wataalamu wa Afya kuhakikisha wanatoa elimu kwa jamii ili kuhimiza kina mama wajawazito kuanza mapema kuhudhuria Kliniki na kujua hali zao ili ...
Imewekwa: December 7th, 2024
MAFUNZO YA BVR.Afisa Mwandikishaji Jimbo la Arumeru Mashariki Mwl. Zainabu J. Makwinya anawatangazia wafuatao kufika kwenye mafunzo ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga Kura
...
Imewekwa: December 3rd, 2024
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mnatangaziwa kuwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura litaanza rasmi kuanzia tarehe 11 Hadi 17 Disemba, 2024. ...