Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anawataarifu wenye majina hapa chini kufika kwenye Usaili wa nafasi ya Wakusanya Mapato utakaofanyika tarehe 29 Juni,2024 saa 2:00 asubuhi katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Wasailiwa wote mnakumbushwa kuzingatia maelekezo yaliyotolewa kwenye barua za tangazo la usaili. Bofya hapa chini kupakua majina
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NAFASI YA WAKUSANYA MAPATO.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa