Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba nafasi ya Ajira za Watendaji wa Vijiji na Madereva kwa masharti ya kudumu. Tangazo hili ni baada ya kupokea vibali vya ajira mbadala vyenye Kumb.Na. FA.170/371/01 "A"/188 cha tarehe 4 Julai, 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Bofya hapa kupakua tangazo NAFASI ZA KAZI MERU DC.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa