Wednesday 15th, January 2025
@HALMASHAURI YA MERU, USA RIVER
Mh. Emmanuela Kaganda anawatangazia Watumishi na Wananchi wote kuwa tarehe 25/07/2023 ni Siku ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa. Kwa halmshauri ya Wilaya ya Meru itaadhimishwa kwa kufanya shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kufanya usafi wa Mazingira katika makao makuu ya Halmashauri ya Meru kuanzia saa moja kamili (1:00) Asubuhi. Aidha katika kuwakumbuka mashujaa wetu tunapaswa kuvaa mavazi Meusi.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa