Wednesday 15th, January 2025
@Uwanja wa Ngarasero Usa River
Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani katika halmshauri ya Meru yanatarajia kufanyika tarehe 20.08.2023 katika uwanja wa Ngarasero - Usa River. Wananchi wote mnakaribishwa kushiriki katika maadhimisho hayo ambayo yataambatana na burudani kama vile Muziki, Dance, Maigizo, Sarakasi, Ngoma na Bongo Fleva, pamoja na Marathoni kabamba ya umbali wa 5km hadi 10km. Karibu ujiandikishe ili ushiriki mwisho ni Jumamosi tarehe 19.08.2023.
MAELEZO ZAIDI PIGA 0784352245
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa