HATUA ZA KUFUATA
1.Hakikisha umesajiliwa kwenye mfumo
Unaweza kusalijiwa kupitia Afisa TEHAMA wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru kwenye ofisi za TEHAMA chumba namba 60.
2.Huisha akaunti yako ya Mfumo
Tumia akaunti yako ya barua pepe ili kuhuisha akaunti yako mara baada ya hatua ya kwanza kukamilika.
3.Ingia na chagua kiungo cha kibali cha Kusafiria
Upande wa kushoto mwaa mfumo kuna machaguo,chagua kiungo cha kibali cha kusafiria kisha chagua Omba kibali.
Bofya hapa https://safari.gov.go.tz/index.php/user/auth/login
4.Jaza Fomu kwa kufuata hatua namba 1 mpaka namba 5 .
Mara baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu kikamilifu ,bonyeza wasilisha kukamilisha maombi ya kibali
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa