MKUTANO MAALUMU WA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU WA KUJADILI HOJA ZA CAG.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mhe. Jeremia Kishili ameongoza Mkutano wa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Meru wenye lengo la kujadili Hoja zilizoibuliwa na mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka wa fedha 2022/2023.
Mkutano huo umeudhuriwa na viongozi mbali mbali kutoka ngazi ya mkoa wakiongozwa na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Ndg.Messaile A. Musa, Viongozi wa Wilaya wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda, Mwenyekiti wa CCM Meru Ndugu. Ndewirwa Mbise, Waheshimiwa Madiwani, Wataalamu pamoja na Wananchi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa