Watumishi wa Halmashauri ya Meru kwa uwakilishi wao wamefanya ziara " Charity Tour" ya kuwatembelea wanafunzi wanaoishi katika mazingira magumu katika shule ya Sekondari Majengo Kati iliyopo Kata ya Majengo .
Ziara hiyo ikiwa na lengo la kuwawezesha wanafunzi mahitaji maalumu kama vile sare za shule, madaftari, kalamu, sabuni, taulo za kike, mafuta ya kujipaka na mahifaji mengine.
Ikiwa ni utaratibu wa Halmashauri ya Meru kupitia kikundi chao cha 'Meru Family' kukusanya michango kama sadaka ya kusaidia baadhi ya watu katika jamii wanaoishi katika mazingira magumu.
https://youtu.be/OxaAEpoKfP4?si=-ergRKVLuaH-nx-s tazama video hii kupata taarifa hii.
![]() |
![]() |
![]() |
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa