Wananchi wa Kitongoji Machumba Kijiji cha Shangarai Kata ya Ambureni wamejitokeza kukagua Majina yao katika Orodha ya Majina ya kushiriki zoezi la kupiga Kura katika uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu tarehe 27 Novemba, 2024.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa