• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Msitu wa Usa Spring

Msitu wa Usa springs ambao pia hujulikana kwa jina la kiasili kama Kibola upo Kaskazini mwa mji wa Usa River takiribani umbali wa kilomita tatu kutoka Mji wa Usa River.

Msitu huu unamilikiwa na Halmashauri ya Meru na una ukubwa wa ekari 21 na umezungukwa na vijiji vitatu vya Nkoanekoli, Sangananu na Kiwawa.

Vivutio vya Watalii vilivyopo kwenye Msitu wa Usa Springs

  • Wanyama wadogo wadogo (Blue Monkey, Mbega, Swala), Ndege wa aina mbalimbali, Nyoka (Green Mamba) na Wadudu wa aina mbalimbali.
  • Miti mikubwa ya asili yenye mapango na mandhari nzuri;
  • Chemchem nyingi na vibwawa vidogo vidogo vya maji;
  • Hali nzuri ya hewa inayowafanya wageni wengi wanaoingia kupenda kukaa ndani kwa muda mrefu kupumzika.

Msitu wa Usa springs umezungukwa na hotel nyingi za Kitalii kama vile Ngurdoto Mountain Lodge, Ngurdoto View, Shangazi Hotel, Mbega Lodge, Kiboko Lodge, River Tree na Arumeru River Lodge.

Shughuli za kitalii huwa zinafanyika katika msitu huu na Watalii wamekuwa wakitembezwa katika msitu huo.

Uwekezaji unaotakiwa

  • Kutambua na kuweka njia za asili za kupita za miguu (foot trails);
  • Kuweka vituo/sehemu za kupumzika Wageni wanapokuwa ndani ya msitu;
  • Kutenga eneo ndani au pembeni ya msitu litakalotumika kama Camping Site na sehemu ya kulia chakula (Lunch box);
  • Kujenga toilets/washrooms;
  • Kutoa elimu kwa wananchi wanaozunguka msitu juu ya kuandaa chakula/ kahawa kwa wageni na kutengeneza bidhaa ndogo ndogo kama Shanga, Bangili, Mikanda, Pete, Hereni ambavyo hupendwa na Watalii.

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa