Mapema hii Leo idara ya Utawala na Rasilimali watu Halmashauri ya Wilaya ya Meru imeongoza Mafunzo Kwa Watumishi wapya waliopangiwa ajira ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Miongoni mwa mafunzo hayo watumishi hao wapya wamepewa Mafunzo ya Mfumo wa Employee Self Service System (ESS),Kanuni za utumishi wa Umma Pamoja na Maadili ya utumishi wa Umma
Mafunzo hayo yametolewa na waseminishaji kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Meru Ismail Issa Mratibu wa Mfumo wa ESS, Winnie Mheluka, Marietha Kavishe, Furahisha Maghubila
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa