• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

DC MKALIPA AZITAKA NGO'S KUTIMIZA WAJIBU WAO

Imewekwa: October 24th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru  Mhe. Amir Mohamed  Mkalipa leo tarehe 24 Oktoba, 2024 amekutana na mashirika yasiyo ya kiserikali NGO's zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru kwa lengo la kufahamiana na kutoa maelekezo mbalimbali kulingana na kazi wanazozifanya.

Mhe. Mkalipa ameyataka mashirika hayo kutimiza wajibu wao wa kisheria ikiwa ni pamoja na kuwasilisha taarifa za kila robo mwaka na kuonyesha kazi zinazoendelea katika mashirika hayo. Pia ameyataka mashirika ambayo hayajasaliji makao ya watoto kufanya hivyo ndani ya siku 30 toka kikao hicho kufanyika.

"Kikao chetu cha leo ni kwa lengo la kukumbushana kutimiza wajibu wetu sisi kama Serikali na nyinyi kama mashirika kutimiza wajibu wenu lakini kuishauri Serikali na kutengeneza mikakati ya kuboresha NGO's zilizopo Meru". Amesema Mkalipa

Rabieth Kajiru ni Mshiriki kutoka Shirika lisilo la kiserikali BOSASELI ametoa shukrani kwa Mhe. Mkuu wa Wilaya na kwa niaba ya NGO's zilizoshiriki  amemuhakikishia kutekeleza maelekezo yote yaliyotolewa ikiwa ni pamoja na kuwasilisha taarifa za kila robo. Wamefurahi Mhe. Mkalipa kuwaandalia siku maalumu ya kujadili changamoto zao ili kuweza kuleta maendeleo .

Afisa Maendeleo ya Jamii na Msajili Msaidizi wa Mashirika yasiyo ya kiserikali Japhet Kazeri ameeleza kuwa mbali na kuwa na mashirika  136 katika Halmashauri ya Meru Mashirikia 51 tu ndiyo yapo Hai na  yanayotoa huduma hivyo kikao hichi kitatoa mwanga kwa Halmashauri kuweza kujua uhai wa mashirika yote na kazi wanazofanya.

fungua hapa kupata video,☝️

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa