Wajumbe wa Kamati ya Fedha,Utawala na mipango wametembelea na kukagua eneo linalotarajiwa kujengwa shule mpya ya Sekondari Karangai katika Kata ya Kikwe.
Ukaguzi huo umetokana na Halmashauri ya Wilaya ya Meru kupokea kiasi cha shilingi Milioni 584.2 kutoka Serikali Kuu kupitia program ya kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) kwa ajili ya ujenzi wa shule za Sekondari.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa