Baada ya Serikali ya awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mhe.Rais, Samia Suluh Hassan kutoa Shilingi Bilioni 1.4 kwaajili ujenzi wa Vyumba 7o vya madarasa katika Shule za Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Meru ,picha zifuatazo zinaonesha hatua za ujezi kufikia leo tarehe 19 Novemba 2021.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa