• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

MKURUGENZI MERU AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA

Imewekwa: May 1st, 2022

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya amezindua rasmi  maadhimisho ya wiki ya mazingira  katika halmashauri hiyo na kuongoza wananchi kukufanya usafi wa mazingira ikiwa ni pamoja na kuokota taka kwenye maeneo ya wazi, Makazi, maeneo ya biashara na barabarani .


Awali, akizindua maadhimisho hayo ya wiki ya mazingira ambayo ni kuanzia  leo tarehe 01  hadi 5 Juni 2022, yenye kauli mbiu  *"Tanzania ni moja, Tutuze mazingira*"

,Mwl.Makwinya ametoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu kufanya usafi kwenye makazi yao, maeneo ya biashara, maeneo ya wazi, mitaro ya maji, barabarani nk "ushiriki wa kila mmoja huleta tija kwenye maadhimisho haya, mazingira masafi ni salama kwetu sote" amehimiza Makwinya.


Baadhi ya wananchi walioshiriki zoezi hilo wameonesha kuvutiwa na namna wadau na  viongozi wamekuwa mstari wa mbele kwenye maadhimisho hayo "tumefurahi kuwaona viongozi wakishirikiana nasi kufanya usafi hii imetuhamasisha sana na sisi tunawaahidi kushiriki ipasavyo kwenye maadhimisho haya "amesema Neema James mfanyabiashara wa Leganga ,Usa -River.


Aidha, maadhimisho hayo yataendelea kwa siku tano tarehe 01 hadi 05 Juni 2022 ambapo wananchi wanatakiwa  Kufanya Usafi kwenye maeneo yao, kufyeka nyasi, majani na vichaka  kwenye maeneo ya makazi, maeneo ya biashara na maeneo ya umma, kwenye barabara, masoko pamoja na kuzibua mifereji ya maji.


Pia.shughuli za Kupanda miti kwenye vyanzo vya maji, maeneo ya makazi, maeneo ya  biashara, mashuleni,maeneo ya wazi na Taasisi mbalimbali zitafanyika


Vilevile , katika kilele cha maadhimisho haya  tarehe 05 Juni 2022 kutakuwa na  kongamano la wadau wa mazingira litakalofanyika eneo la mbele la Halmashauri kuanzia saa 2:00 asubuhi na Wananchi wote mnakaribishwa.


Uzinduzi wa wiki ya mazingira kitaifa umefanyika Jijini Dodoma na kwa Halmashauri ya Wilaya ya Meru uzinduzi umefanyika katika makao makuu, wadau walioshitiki ni Wananchi , Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru, Twice foundation, Hakiki Ndoto zako organization, Usa River Malihali Club, Duluti Green Foundation, Dunia Salama Foundation, Kilimanjaro Experts, Joboritunity, Life for Change, Ngare sero Mountain Lodge, Bodi ya Maji Bonde la Pangani pamoja na wananchi na watumishi Mbalimbali.

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO WIKI YA UTYUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA

    June 13, 2025
  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa