Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anawatangazia walio orodheshwa hapo chini ndio waliochaguliwa kwenye usaili wa tarehe 5 Aprili 2022 wa Ajira ya muda ya zoezi la ukusanyaji taarifa na kuweka anwani za makazi, hivyo wanatakiwa kufika kwenye mafunzo yatakayofanyika tarehe 8 Aprili 2022 Saa 1:30 Asubuhi kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Fikiria Kwanza iliyopo karibu na kituo cha daladala Denish
Kuona orodha bofya hapa MAFUNZO ANWANI.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa