Imewekwa: December 7th, 2024
MAFUNZO YA BVR.Afisa Mwandikishaji Jimbo la Arumeru Mashariki Mwl. Zainabu J. Makwinya anawatangazia wafuatao kufika kwenye mafunzo ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga Kura
...
Imewekwa: December 3rd, 2024
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mnatangaziwa kuwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura litaanza rasmi kuanzia tarehe 11 Hadi 17 Disemba, 2024. ...
Imewekwa: November 27th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Amir Mohamed Mkalipa mapema hii Leo ameshiriki Zoezi la kupiga Kura kwenye kituo chakupigia Kura Shule ya Msingi Kilimani kitongoji cha Magadirisho.
Aidha Mkuu ...