Imewekwa: June 1st, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Meru wilayani Arumeru leo wamefanya maadhimisho ya Siku ya Usafi wa Mazingira Kitaifa.
Maadhimisho hayo yameongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda kwa ...
Imewekwa: May 29th, 2024
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Madiira wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwajengea shule nzuri katika Kata ya Seela Sing'isi.
Akiwakilisha ...
Imewekwa: May 29th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul C. Makonda amepongeza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari ya Madiira iliyopo Kata ya Seela Sing'isi katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
RC Makond...